# Bwana wa utukufu "Yesu, Bwana wa utukufu." # Mambo ambayo hakuna macho...hayakufikiri, mambo ambayo ...wampendao Mungu Inataja sehemu tatu za mwili wa mtu kumaanisha kwamba hakuna mtu aliyekwisha kuwa na ufahamu wa kina kwa vitu ambavyo Mungu ameandaa. # Mambo mbayo hakuna jicho limeyaona, hakuna sikio lililoyasikia, mawazo hayakufikiri Inataja sehemu tatu za mwili wa mtu kumaanisha kwamba hakuna mtu aliyekwisha kuwa na ufahamu wa kina kwa vitu ambavyo Mungu ameandaa. # Vitu vile Mungu amekwisha andaa kwa wale wanampenda yeye. Bwana amekwisha umba mbinguni vitu vya ajabu kwa wote wanaompenda yeye.