sw_tn/zec/14/06.md

16 lines
357 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa.
# maji yaliyohai
Kwa kawaida hii inamaanisha maji yatiririkayo, tofauti na maji yaliyotuama.
# bahari ya mashariki
Hii inamaanisha Bahari ya chumvi, iliyomashariki mwa Yerusalemu.
# bahari ya magharibi
Hii inamaanisha bahari ya Mediterania.