# Maelezo ya Jumla: Mistari hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa. # maji yaliyohai Kwa kawaida hii inamaanisha maji yatiririkayo, tofauti na maji yaliyotuama. # bahari ya mashariki Hii inamaanisha Bahari ya chumvi, iliyomashariki mwa Yerusalemu. # bahari ya magharibi Hii inamaanisha bahari ya Mediterania.