sw_tn/zec/14/01.md

16 lines
426 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Sura hii inaelezea vita ya mwisho kwa mji wa Yerusalemu na jinsi Mungu atakavyouokoa.
# mateka wenu watakapogawanywa katikati yenu
Inamaanisha "Adui zenu watachukua mali yenu yote na kuigawana mbele yenu"
# nitayakusanya mataifa yote kinyume cha Yerusalemu kwa vita
"Nitayafanya mataifa kuishambulia Yerusalemu"
# kumbukumbu ya watu haitaondolewa mjini
"Adui zenu wataacha masalia kukaa katika mji"