sw_tn/zec/13/07.md

20 lines
496 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Upanga! inuka mwenyewe
"wewe, upanga! Unapaswa kuamka." Hii ni amri kutoka kwa Yahwe kwa mchungaji wake kupigwa na kuawa.
# dhidi ya mchungaji wangu
Hii inamaanisha mfalme fulani au mtumishi fulani wa Yahwe.
# hivi ndivyo asemavyo Yahwe wa majeshi
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria.
# kondoo
"Kondoo" ni watu wa Israeli.
# wadogo
Pengine inarejerea kwa Waisraeli wote walio dhaifu na bila ulinzi.