# Upanga! inuka mwenyewe "wewe, upanga! Unapaswa kuamka." Hii ni amri kutoka kwa Yahwe kwa mchungaji wake kupigwa na kuawa. # dhidi ya mchungaji wangu Hii inamaanisha mfalme fulani au mtumishi fulani wa Yahwe. # hivi ndivyo asemavyo Yahwe wa majeshi Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe" Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria. # kondoo "Kondoo" ni watu wa Israeli. # wadogo Pengine inarejerea kwa Waisraeli wote walio dhaifu na bila ulinzi.