sw_tn/zec/10/03.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Gadhabu yangu inawaka dhidi ya wachungaji
"Wachungaji" wanawakilisha viongozi wa watu wa Mungu.
# ni mabeberu - viongozi - nitakao waadhibu
"Mabeberu" wanawakilisha viongozi wasiofaa
# Yahwe wa majeshi atalihudumia pia kundi la kondoo wake, nyumba ya Yuda
"Nitaiangalia nyumba ya Yuda"
# kuwafanya kama farasi wake wa vita!
"Tawapa uwezo wangu wa nguvu isiyoogopesha"