# Gadhabu yangu inawaka dhidi ya wachungaji "Wachungaji" wanawakilisha viongozi wa watu wa Mungu. # ni mabeberu - viongozi - nitakao waadhibu "Mabeberu" wanawakilisha viongozi wasiofaa # Yahwe wa majeshi atalihudumia pia kundi la kondoo wake, nyumba ya Yuda "Nitaiangalia nyumba ya Yuda" # kuwafanya kama farasi wake wa vita! "Tawapa uwezo wangu wa nguvu isiyoogopesha"