sw_tn/zec/01/16.md

24 lines
785 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimeirudia Yerusalemu kwa rehema nyingi
Kurudi Yerusalemu inamaanisha kuchukua tena jukumu la kuwaudumia watu wa Israeli kama mfalme kurudi kuwaongoza watu kutoka katika shida.
# Nyumba yangu itajengwa ndani yake
"Hii inamaanisha kujengwa tena kwa hekalu katika Yerusalem"
# hili ni tamko la Yahwe wa majeshi
Kifungu hiki mara kwa mara kinafasiriwa kama "asema Yahwe." Na kifungu hiki kimetumika mara kwa mara katika kitabu hiki.
# Kipimo kitanyoshwa juu ya Yerusalemu
"Yerusalemu itakaguliwa kabla ya kujengwa"
# Miji yangu kwa mara nyingine itajawa na uzuri
Yahwe anamaanisha mambo mema atakayoyafanya kwa ajili ya watu wake Israeli kama ambavyo kimiminika kinavyoweza kujaa katika miji na kufurika.
# Yahwe ataifariji tena Sayuni
"Yahwe atawatia moyo watu wa Israeli"