sw_tn/zec/01/10.md

20 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hawa ni wale... Walijibu
Maneno "hawa" na "wale" inamaanisha farasi kati ya miti ya mihadasi
# kuzunguka duniani
Maana yaweza kuwa: 1) "kuiangalia dunia yote" au 2) "kutembea duniani mwote"
# kati ya miti ya mihadasi
ni aina ya miti midogo yenye maua yenye rangi
# dunia yote imetulia na kustarehe
"watu wote duniani walikuwa na amani"
# imekaa na kuwa na amani
Vifungu vyote vinamaanisha kuweza kutulia pasipo na cha kuogopa.