# Hawa ni wale... Walijibu Maneno "hawa" na "wale" inamaanisha farasi kati ya miti ya mihadasi # kuzunguka duniani Maana yaweza kuwa: 1) "kuiangalia dunia yote" au 2) "kutembea duniani mwote" # kati ya miti ya mihadasi ni aina ya miti midogo yenye maua yenye rangi # dunia yote imetulia na kustarehe "watu wote duniani walikuwa na amani" # imekaa na kuwa na amani Vifungu vyote vinamaanisha kuweza kutulia pasipo na cha kuogopa.