sw_tn/tit/03/08.md

12 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ujumbe huu
Hii inarejea kwenye maelezo kuhusu Mungu kutupa Roho Mtakatifu kupitia Yesu katika 3:6.
# dhamira juu ya kazi nzuri
"kutafuta na kufanya matendo au kazi njema"
# ambayo aliweka mbele yao
Paulo anaongelea kuhusu matendo meme kana kwamba ni vitu ambavyo Mungu aliweza kuviweka mbele ya watu. "ambayo Mungu aliyaandaa kwa ajili yao kuyafanya"