# ujumbe huu Hii inarejea kwenye maelezo kuhusu Mungu kutupa Roho Mtakatifu kupitia Yesu katika 3:6. # dhamira juu ya kazi nzuri "kutafuta na kufanya matendo au kazi njema" # ambayo aliweka mbele yao Paulo anaongelea kuhusu matendo meme kana kwamba ni vitu ambavyo Mungu aliweza kuviweka mbele ya watu. "ambayo Mungu aliyaandaa kwa ajili yao kuyafanya"