sw_tn/tit/01/12.md

28 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mmoja wao
"Mmoja wa Wakrete" au mtu fulani kutoka kwa watu wa Krete
# Mtu busara
Maana zinazokubalika ni 1) nabii au 2) "mshairi au mwana falsafa au 3) mwalimu
# Wakrete wana uongo usio na mwisho
"Wakrete hudanganya kila wakati" Maneno haya yametiwa chumvi kuonesha tabia wa Wakrete ya kudanganya.
# wabaya na mnyama wa hatari
Msemo huu unawalinganish Wakrete na hayawani au wanyama hatari.
# Wavivu na walafi
Ni msemo unaoonesha watu wasiopenda kufanya kazi yoyote lakini wanakula sana.
# kuwazuia kwa nguvu ( kuwarekebisha)
kwa hiyo waambie kwa ujasiri kwamba hawako sahihi (wamekosea)"
# Kwamba wanaweza kuwa katika imani ya kweli
"Watakuwa na imani imara" au " kwamba imani yao itakuwa ya kweli"