# Mmoja wao "Mmoja wa Wakrete" au mtu fulani kutoka kwa watu wa Krete # Mtu busara Maana zinazokubalika ni 1) nabii au 2) "mshairi au mwana falsafa au 3) mwalimu # Wakrete wana uongo usio na mwisho "Wakrete hudanganya kila wakati" Maneno haya yametiwa chumvi kuonesha tabia wa Wakrete ya kudanganya. # wabaya na mnyama wa hatari Msemo huu unawalinganish Wakrete na hayawani au wanyama hatari. # Wavivu na walafi Ni msemo unaoonesha watu wasiopenda kufanya kazi yoyote lakini wanakula sana. # kuwazuia kwa nguvu ( kuwarekebisha) kwa hiyo waambie kwa ujasiri kwamba hawako sahihi (wamekosea)" # Kwamba wanaweza kuwa katika imani ya kweli "Watakuwa na imani imara" au " kwamba imani yao itakuwa ya kweli"