sw_tn/tit/01/01.md

28 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa imani ya
kuimarisha imani ya
# inayokubaliana na utauwa
"inayofaa katika kumheshimu Mungu"
# tangu milele (kabla ya nyakati zote)
"Kabla ya kuanza kwa wakati"
# Katika wakati muafaka
"katika wakati unafaa"'
# alilifunua neno
Paulo anaongea juu ya ujumbe wa Mungu kana kwamba ni kitu ambacho chaweza kudhihirishwa dhahiri kwa watu. "Alitangaza neno lake."
# aliniamini mimi kuufikisha
"Niliaminiwa kutangaza" au "alinipa wajibu wa kuhubiri"
# Mungu mwokozi wetu
"Mungu anayetuokoa"