# kwa imani ya kuimarisha imani ya # inayokubaliana na utauwa "inayofaa katika kumheshimu Mungu" # tangu milele (kabla ya nyakati zote) "Kabla ya kuanza kwa wakati" # Katika wakati muafaka "katika wakati unafaa"' # alilifunua neno Paulo anaongea juu ya ujumbe wa Mungu kana kwamba ni kitu ambacho chaweza kudhihirishwa dhahiri kwa watu. "Alitangaza neno lake." # aliniamini mimi kuufikisha "Niliaminiwa kutangaza" au "alinipa wajibu wa kuhubiri" # Mungu mwokozi wetu "Mungu anayetuokoa"