sw_tn/sng/07/07.md

32 lines
882 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaelezea nini angependa kufanya kwa yeye anaye mpenda.
# Urefu wako ni wa kama mti wa mtende
"Una simama kama mti wa mtende." Mwanamke ni mrefu, kasimama wima, na anavutia kama mti wa mtende.
# mti wa mtende
mti mrefu wa wima unao zalisha matunda matamu ya rangi ya brauni yanayo ota kwa makundi
# maziwa yako kama vifungu vya matunda
Mbegu katika mti wa mtende vinaota katika vifungu vizuri vinavyo teremka chini ya mti.
# Ninataka kuupanda ... matawi yake
Mwanamme anataka kumshika mwanamke.
# Maziwa yako nayawe kama vifungu vya mizabibu
Mwanamke anataka kushika maziwa yake yaliyo kaza lakini malaini kama mizabibu iliyo jawa na maji yake.
# harufu ya pua yako yawe kama mapera
"harufu inayo toka kwenye pua yako inukie vizuri kama mapera."
# mapera
Neno "mapera" la husu ladha ya tunda tamu, lenye rangi ya njano, aina nzuri ya tunda.