# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaelezea nini angependa kufanya kwa yeye anaye mpenda. # Urefu wako ni wa kama mti wa mtende "Una simama kama mti wa mtende." Mwanamke ni mrefu, kasimama wima, na anavutia kama mti wa mtende. # mti wa mtende mti mrefu wa wima unao zalisha matunda matamu ya rangi ya brauni yanayo ota kwa makundi # maziwa yako kama vifungu vya matunda Mbegu katika mti wa mtende vinaota katika vifungu vizuri vinavyo teremka chini ya mti. # Ninataka kuupanda ... matawi yake Mwanamme anataka kumshika mwanamke. # Maziwa yako nayawe kama vifungu vya mizabibu Mwanamke anataka kushika maziwa yake yaliyo kaza lakini malaini kama mizabibu iliyo jawa na maji yake. # harufu ya pua yako yawe kama mapera "harufu inayo toka kwenye pua yako inukie vizuri kama mapera." # mapera Neno "mapera" la husu ladha ya tunda tamu, lenye rangi ya njano, aina nzuri ya tunda.