sw_tn/rom/14/03.md

16 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wewe ni nani, wewe unaye hukumu mtumishi ambaye ni mali ya mtu mwingine?
Paulo anatumia swali kukemea wale wanao hukumu wengine. " wewe si Mungu, na hunaruhusa ya kuhukumu mojawapo wa watumishi wake"
# Wewe, wewe
U-moja
# Ni mbele ya bwana wake kuwa anasimama au kuanguka
"Ni bwana wake tu anaweza kuamua ikiwa atamkubali mtumishi au atamkataa"
# Lakini atamfanya asimame, kwa kuwa Bwana ana uwezo wa kumsimamisha.
"Lakini Bwana atamkubali kwa sababu anauwezo wa kumfanya mtumishi akubalike"