sw_tn/rom/13/11.md

16 lines
361 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Usiku umeendelea sana
" Wakati uliopo wa dhambi umekaribia kumalizika"
# Siku imekaribia
"Kristo atarudi upesi"
# Matendo ya giza
Haya ni matendo maovu ambayo watu wanpendelea kuyafanya usiku, wakati hakuna mtu anaye weza kuwaona.
# Tuvae silaha za nuru
" Inatupasa kumruhusu Mungu kutulinda kwa kufanya tu yale ambayo tunataka watu waone tunayafanya"