# Usiku umeendelea sana " Wakati uliopo wa dhambi umekaribia kumalizika" # Siku imekaribia "Kristo atarudi upesi" # Matendo ya giza Haya ni matendo maovu ambayo watu wanpendelea kuyafanya usiku, wakati hakuna mtu anaye weza kuwaona. # Tuvae silaha za nuru " Inatupasa kumruhusu Mungu kutulinda kwa kufanya tu yale ambayo tunataka watu waone tunayafanya"