sw_tn/rom/12/19.md

24 lines
981 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kisasi ni changu; nitalipa
Mistari hii miwili inamaanisha kitu kimoja kwa kusisitiza kwamba Mungu atawalipiza watu wale. "Nitawalipiza ninyi"
# Adui yako .... mlishe..... mnyweshe... ukifanya hivi, utakusanya ... Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya
Aina zote za "wewe" au "yako" inamuelezea mtu mmoja.
# Lakini adui yako akiwa na njaa.... kichwa chake
Paulo ananukuu sehemu nyingine ya maandiko. "Lakini pia imeandikwa, 'ikiwa adui yako ana njaa... kichwa chake"'
# Mlishe
"Mpe chakula"
# Kusanya makaa ya moto juu ya kichwa chake
Paulo anafananisha adhabu watakayoipata maadui na kaa la moto linalowekwa kwenye vichwa vyao. maana nyingine zaweza kuwa 1)"kumfanya mtu aliyekuumiza kujisikia vibaya kwa namna alivyokutendea" au 2) "Kumpa Mungu sababu ya kuwahukumu adui zako vibaya zaidi"
# Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema
Paulo anauelezea "ubaya" kama kitu kinachoishi. "Msiwaache waliowaovu wawashinde, ila muwashinde kwa kufanya yaliyo mema."