sw_tn/rom/12/09.md

24 lines
685 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Pendo lisiwe na unafiki
"Acha upendo uwe wa wazi" au "Acha upendo uwe wa kweli"
# Upendo
Hili ni neno lingine linalomaanisha upendo wa ndugu au upendo kwa rafiki au kwa wanafamilia. huu ni upendo wa asili wa binadamukati ya marafiki au ndugu.
# Kuhusu upendo wa ndugu, mpendane
Paulo ameanza kuonyesha idadi ya vitu tisa, kila kimoja kikionyesha "Kuhusu....." "kuwaambia waamini wanapaswa kuwa watu wa aina gani.
# Kuhusu upendo wa ndugu
"Kwa namna ambavyo unaweza kumpenda mwamini mwenzako"
# Mpendane
"Muwe na uaminifu" kama wanafamilia.
# Kuhusu heshima, mheshimiane.
"Waheshimu na watii wengine" au, tumia sentensi mpya, "Kama unavyowaheshimu waamuni wenzako, watii"