# Pendo lisiwe na unafiki "Acha upendo uwe wa wazi" au "Acha upendo uwe wa kweli" # Upendo Hili ni neno lingine linalomaanisha upendo wa ndugu au upendo kwa rafiki au kwa wanafamilia. huu ni upendo wa asili wa binadamukati ya marafiki au ndugu. # Kuhusu upendo wa ndugu, mpendane Paulo ameanza kuonyesha idadi ya vitu tisa, kila kimoja kikionyesha "Kuhusu....." "kuwaambia waamini wanapaswa kuwa watu wa aina gani. # Kuhusu upendo wa ndugu "Kwa namna ambavyo unaweza kumpenda mwamini mwenzako" # Mpendane "Muwe na uaminifu" kama wanafamilia. # Kuhusu heshima, mheshimiane. "Waheshimu na watii wengine" au, tumia sentensi mpya, "Kama unavyowaheshimu waamuni wenzako, watii"