sw_tn/rom/11/25.md

24 lines
632 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sitaki ninyi msijue
"Natamani sana mtambue"
# Mimi
Neno "mimi" linamaanisha paulo.
# wewe...wewe... ninyi
Maneno haya "wewe" na "ninyi" yanamaanisha Mataifa walioamini.
# ili kwamba msiwe na hekima katika kufikiri kwenu wenyewe.
Waamini wa mataifa wanaweza kuamini kwamba wana hekima zaidi kuliko Wayahudi wasioamini. "Ili msifikiri kwamba mna hekima zaidi ya mlivyo"
# ubaguzi mgumu umetokea katika Israeli
Baadhi ya Wayahudi walikataa kukubali wokovu kupitia kwa Yesu.
# hadi kukamilika kwa mataifa kutakapokuja
Neno "mpaka" linaelezea kuwa Wayahudi wengi wataamini baada ya Mungu kumaliza kuwaleta Mataifa kanisani.