forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.1 KiB
Markdown
40 lines
1.1 KiB
Markdown
|
# Maelezo yanayounganisha:
|
||
|
|
||
|
Japokuawa Israeli kama taifa lilikataliwa na Mungu, Mungu alitaka waelewe kuwa wokovu unakuja kwa neema bila kazi.
|
||
|
|
||
|
# Basi naseema
|
||
|
|
||
|
"Mimi, Paulo, nikasema"
|
||
|
|
||
|
# Je Mungu amewakataa watu wake?
|
||
|
|
||
|
Paulo alijiuliza hili swali ili awajibu maswali ya Wayahudi wengine waliokuwa wamekasirika kwamba Mataifa wamewekwa kuwa watu wa Mungu, wakati mioyo ya Wayahudi ikiwa imefanywa kuwa migumu.
|
||
|
|
||
|
# Hata kidogo
|
||
|
|
||
|
"Hiyo haiwezekani" au "la hasha!" Ufafanuzi huu unakataa kwa nguvu kwamba hii haiwezi kutokea. Unaweza kuwa na ufafanuzi mwingine kwa lugha yako ambayo unaweza kutumia hapa.
|
||
|
|
||
|
# Kabila la Benjamini
|
||
|
|
||
|
Hii inaelezea kabila ambalo ni kizazi cha Benjamini, moja kati ya makabila 12 ambayo Mungu aliwagawanya wana wa Israeli kwayo.
|
||
|
|
||
|
# Aliowatambua
|
||
|
|
||
|
"Aliowafahamu tangu mwanzo"
|
||
|
|
||
|
# Je, hamjui andiko linasema nini kuhusu Eliya, jinsi alivyomsihi Mungu juu ya Israeli?
|
||
|
|
||
|
"Hakika mnajua nini kimeandikwa kwenye maandiko. Mnakumbuka Eliya alivyomsihi Mungu juu ya Israeli."
|
||
|
|
||
|
# Andiko linasema nini
|
||
|
|
||
|
Paulo anaelezea ni nini kimeandikwa kwenye maandiko.
|
||
|
|
||
|
# Wao wamewauwa
|
||
|
|
||
|
"Wao" ni watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Nami nimesalia peke yangu
|
||
|
|
||
|
Neno "mimi" linamaanisha Eliya
|