sw_tn/rom/10/19.md

24 lines
742 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Zaidi, nasema, "Waisraeli hawakujua"
Paulo anatumia swali kwa msisitizo. Neno "Israeli" urejea kwa watu walio ishi katika taifa la Israeli. "Tena nakwambia watu wa Israeli hawakujua ujumbe.
# Kwanza Musa anasema, "Nitakukasirisha... Nitakuchochea
Hii ina maanisha kwamba Musa aliandika chini kile Mungu alisema. "Mimi" urejea kwa Mungu, na "wewe" urejea kwa Waisraeli. "Kwanza Musa anasema kwamba Mungu atakukasirisha...kukuchoea
# kwa kipi siyo taifa
"kwa wale hautazamii kuwa ni taifa halisi" au "kwa watu wasio na taifa lolote"
# Kwa maan ya taifa lisilo na uelewa
"kwa taifa lenye watu wale wasionijua mimi au amri zangu"
# Nitakuchochea wewe kwa hasira
"Nitakufanya wewe kukasirika"
# wewe
Hii inarejea kwa taifa la Israeli