forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
547 B
Markdown
12 lines
547 B
Markdown
|
# Kwamba ningetamani mimi mwenyewe kulaaniwa na kutengwa mbali na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, wale wa jamii yangu katika mwili.
|
||
|
|
||
|
Mimi binafsi ningekuwa tayari kumwacha Mungu anilaani mimi na, kuniweka mimi mbali na Kristo milele kama hiyo ingewasaidia ndugu zangu waisraeli, watu wa kundi langu, kumwamini Kristo."
|
||
|
|
||
|
# Wao ni waisraeli
|
||
|
|
||
|
"Wao, kama mimi, ni waisraeli. Mungu aliwachagua wao kuwa uzao wa Yakobo"
|
||
|
|
||
|
# Wao ni watangulizi ambako Kristo amekuja kwa heshima ya mwili.
|
||
|
|
||
|
Kristo amekuja kwa mwili kama mzao kutoka kwa watungulizi wao.
|