sw_tn/rom/08/33.md

12 lines
461 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki
Paulo anatumia swali kusisitiza. "Hakuna mtu anayeweza kutuhukumu sisi kwa Mungu kwasababu ndiye atupatanishaye naye."
# Ni nani atakayewahukumia adhabu?
Paulo anatumia swali kusisitiza. Hatarajii jibu kutoka kwao. "Hakuna atakayetuhukumu"
# na zaidi ya hayo, yeye pia alifufuliwa
"ambaye muhimu sana Mungu alimfufua kutoka wafu" au "ambaye kwa muhimu zaidi aliurudia uzima"