# Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki Paulo anatumia swali kusisitiza. "Hakuna mtu anayeweza kutuhukumu sisi kwa Mungu kwasababu ndiye atupatanishaye naye." # Ni nani atakayewahukumia adhabu? Paulo anatumia swali kusisitiza. Hatarajii jibu kutoka kwao. "Hakuna atakayetuhukumu" # na zaidi ya hayo, yeye pia alifufuliwa "ambaye muhimu sana Mungu alimfufua kutoka wafu" au "ambaye kwa muhimu zaidi aliurudia uzima"