sw_tn/rom/07/13.md

32 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa unganishi:
Paul anazungumzia kuhusu vita iliyopo katika utu wake wa ndani kati ya dhambi katika utu wake wa ndani na sheria ya Mungu - kati ya dhambi na wema.
# Hivyo
Paulo anatambulisha mada mpya.
# kilicho kizuri
Hii inamaanisha sheria ya Mungu.
# fanyika kifo kwangu
"ilisababisha mimi nife"
# Isiwe hivyo kamwe
"Kwa hakika hiyo si kweli!" Msemo huu unatoa jibu hasi kwa nguvu kufuatia swali la mtego la awali. Unaweza kuwa na msemo unaofanana na huu katika lugha ambao unaweza kuutumia.
# dhambi...ilileta mauti ndani yangu
Paulo anaiona dhambi kana kwamba ni mtu anayeweza kutenda.
# ilileta mauti ndani yangu
"ilinitenga mimi na Mungu"
# kwa njia ya amri
"kwasababu mimi sikuitii amri"