sw_tn/rom/07/04.md

12 lines
238 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa hiyo
Hii inarejea maneno haya "Kwa sababu ya jinsi sheria hufanya kazi"
# tuweze kuzaa matunda kwa ajili ya Mungu
"tuweze kufanya mambo yanayompendeza Mungu"
# kuzaa matunda
Hapa inamaanisha kubadilika hali ya ndani ya kiroho.