sw_tn/rom/05/01.md

24 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kuunganishi Sentensi
Paulo anaanza kusema mambo mengi tofauti yanayotokea pindi Mungu anawathibitisha wakristo
# Tangu
"Kwa sababu"
# sisi...vyetu
Yote yanayotokea kwa "sisi" na "vyetu" urejea kwa wakristo wote na inapaswa kuhusisha.
# kupitia Bwana wetu Yesu Kristo
"kwa sababu ya Bwana wetu Yesu Kristo"
# Bwana
Hapa "Bwana" ina maanisha kwamba Yesu ni Mungu
# Kupitia yeye sisi pia tuna upenyo kwa imani kufikia neema ambayo tunasimama
Paulo analinganisha wakristo kupokea neema kwa mtu aliyesimama mbele ya mfalme. "Kwa sababu ni ndani ya Yesu tuna amini, Mungu utupa neema kusimama mbele ya Mungu."