sw_tn/rom/03/15.md

20 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wao...wao... Watu hawa.... wao
Hii inahusisha Wayahudi na Wayunani
# Miguu yao ina mbio kumwaga damu
"Wapo katika haraka ya kudhuru na kuua watu"
# Uharibifu na mateso ni katika njia zao
'Kila mtu anaishi katika njia hiyo kwamba wao kwa makusudi kujaribu kuharibu wengine na kusababisha wao kuteseka'
# Njia ya amani
"Njia" ni "barabara" au "njia" AT: "Jinsi ya kuishi kwa amani na wengine"
# Hakuna hofu ya Mungu mbele ya macho yao
"Kila mtu anakataa kumpa Mungu heshima anayostahili"