forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
879 B
Markdown
32 lines
879 B
Markdown
|
# Lakini sifa, heshima na amani vitakuja.
|
||
|
|
||
|
"Lakini Mungu atatoa sifa, heshima na amani"
|
||
|
|
||
|
# Tenda mema
|
||
|
|
||
|
"endeleeni kufanya yaliyo mema"
|
||
|
|
||
|
# Kwa Wayahudi kwanza , na pia kwa Wagiriki
|
||
|
|
||
|
"Mungu atawapa tuzo Wayahudi kwanza, na baada ya hapo ambao sio Wayahudi"
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu
|
||
|
|
||
|
"Kwa kuwa Mungu hapendelei baadhi ya watu juu ya wengine" au "kwa kuwa Mungu anausawa kwa watu wote"
|
||
|
|
||
|
# Kwa wingi wao kama walivyotenda dhambi
|
||
|
|
||
|
"Kwa wale walotenda dhambi"
|
||
|
|
||
|
# Bila sheria pia wataangamia bila sheria
|
||
|
|
||
|
Paulo anarudia "bila sheria" ili kusisitiza kuwa haijalishi kama hawajui sheria ya Musa. Kama wakitenda dhambi Mungu atawahukumu. "Bila kujua sheria za Musa bado watakufa kiroho"
|
||
|
|
||
|
# na wingi wao kama walivyotenda dhambi
|
||
|
|
||
|
"Na wote waliotenda dhambi"
|
||
|
|
||
|
# Kwa kutii sheria watahukumiwa kwa sheria
|
||
|
|
||
|
"Na kujua sheria za Musa, Mungu atawahukumu kutokana na sheria ya Musa.
|