sw_tn/rom/01/08.md

40 lines
874 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ulimwengu wote
Hii inamaanisha ulimwengu walioufahamu, ambao ni ngome wa Roma.
# Kwa kuwa Mungu ni shahidi yangu
Paulo anasisitiza kwamba ameomba kwa bidii kwa ajili yao na kwamba Mungu alimuona akiwa anaomba.
# Kwa roho yangu
Hapa inamaanisha roho ya mtu ni sehemu yake ambayo inamtambua Mungu na kumwamini.
# Injili ya mwanawe
Habari njema (injili) ya Biblia ni kwamba mwana wa Mungu alijitoa mwenyewe kama mkombozi wa dunia.
# Mwana
Hiki ni cheo cha muhimu sana kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# Nakutaja wewe
"Niliongea na Mungu kuhusu wewe"
# Kila mara kwenye maombi yangu nimekuwa nikiomba kuwa.. Hatimaye nifanikiwe... kuja kwako
Kila mara naomba, na kumwambia Mungu kwamba... Nifanikiwe... kuja kukutembelea wewe"
# Kwa njia yoyote
"Kwa njia yoyote ambayo Mungu ataruhusu"
# Hatimaye
"mwisho"
# Kwa mapenzi ya Mungu
"kwa sababu Mungu ametamani hivyo"