# Ulimwengu wote Hii inamaanisha ulimwengu walioufahamu, ambao ni ngome wa Roma. # Kwa kuwa Mungu ni shahidi yangu Paulo anasisitiza kwamba ameomba kwa bidii kwa ajili yao na kwamba Mungu alimuona akiwa anaomba. # Kwa roho yangu Hapa inamaanisha roho ya mtu ni sehemu yake ambayo inamtambua Mungu na kumwamini. # Injili ya mwanawe Habari njema (injili) ya Biblia ni kwamba mwana wa Mungu alijitoa mwenyewe kama mkombozi wa dunia. # Mwana Hiki ni cheo cha muhimu sana kwa Yesu, Mwana wa Mungu. # Nakutaja wewe "Niliongea na Mungu kuhusu wewe" # Kila mara kwenye maombi yangu nimekuwa nikiomba kuwa.. Hatimaye nifanikiwe... kuja kwako Kila mara naomba, na kumwambia Mungu kwamba... Nifanikiwe... kuja kukutembelea wewe" # Kwa njia yoyote "Kwa njia yoyote ambayo Mungu ataruhusu" # Hatimaye "mwisho" # Kwa mapenzi ya Mungu "kwa sababu Mungu ametamani hivyo"