sw_tn/rev/20/07.md

16 lines
409 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu atamuachia Shetani kutoka katika gereza lake"
# kona nne za dunia
Hii ni lugha inayomaanisha "duniani kote"
# Gogu na Magogu
Haya ni majina ambayo nabii Hezekia alitumia kuwakilisha mataifa ya mbali.
# Watakuwa wengi kama mchanga wa bahari
Huu ni msisitizo wa namba kubwa sana la askari wa jeshi la Shetani.