sw_tn/rev/19/19.md

16 lines
489 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mnyama alikamatwa na nabii wake wa uongo
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mpandaji wa farasi nyeupe alimkamata mnyama na nabii wa uongo"
# chapa ya mnyama
Hii ilikuwa alama ya kuonesha kuwa aliyekuwa nayo alimwabudu mnyama.
# Wote wawili walitupwa wangali hai
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu alimtupa mnyama na nabii wa uongo wangali hai"
# katika ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti
"ziwa la moto liwakalo salfa" au "sehemu ilyojaa moto unaowaka salfa"