sw_tn/rev/19/05.md

16 lines
414 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sauti ilitoka kwenye kiti cha enzi
Hapa Yohana anazungumzia "sauti" kana kwamba ni mtu. "mtu alizungumza kutoka kwenye kiti cha enzi"
# Msifuni Mungu wetu
Hapa "wetu" inamaanisha mnenaji na watumishi wote wa Mungu.
# ninyi mnaomcha yeye
Hapa ina maana ya kumheshimu Mungu. "wote mnaomheshimu Mungu"
# wote wasio na umuhimu na wenye nguvu
Mnenaji anatumia maneno haya pamoja kumaanisha watu wote wa Mungu.