sw_tn/rev/16/12.md

16 lines
566 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# limwaga kutoka kwenye bakuli lake
Neno "bakuli" linamaanisha kile kilichomo. "kumwagwa divai kutoka katika bakuli lake" au " kumwaga ghadhabu ya Mungu kutoka katika bakuli lake"
# maji yake yakakauka
"Na maji yake yalikauka" au "Na kusababisha maji yake kukauka"
# zilizoonekana kama chura
Chura ni mnyama mdogo anayeishi karibu na maji. Wayahudi waliwafikiria kuwa wanyama wachafu.
# joka
Hili lilikuwa tambaazi kubwa kali, kama mjusi. Kwa wayahudi ilikuwa ni alama ya uovu na machafuko. Joka pia linatambulika katika mstari wa 9 kama "ibilisi au Shetani"