sw_tn/rev/16/08.md

24 lines
799 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akamwaga kutoka kwenye bakuli
Neno "bakuli" linamaanisha kile kilichomo. "kumwagwa divai kutoka katika bakuli lake" au " kumwaga ghadhabu ya Mungu kutoka katika bakuli lake"
# likapewa ruhusa kuunguza watu
Yohana analizungumzia jua kama mtu. "na akasababisha jua kuwachoma watu kwa ukali"
# Waliunguzwa kwa joto lenye kutisha
"Lile joto kali sana liliwachoma vibaya"
# wakalikufuru jina la Mungu
Hapa jina la Mungu linamuwakilisha Mungu. "walimkufuru Mungu"
# mwenye nguvu juu ya mapigo yote
Usemi huu unawakumbusha wasomaji kuhusu jambo ambalo wanalijua kumhusu Mungu. Linasaidia kueleza kwa nini watu walimkufuru Mungu. "kwa sababu ana nguvu juu ya mapigo yote haya"
# guvu juu ya mapigo yote
Hii inamaanisha nguvu ya kusababisha haya mapigo kwa watu, na nguvu ya kuyasitisha mapigo.