forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
632 B
Markdown
20 lines
632 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Huu mstari ni ufupi wa kitakachotokea katika 15:6-16:21.
|
||
|
|
||
|
# kubwa na yenye kushangaza
|
||
|
|
||
|
Maneno haya yanamaana za kukaribiana na yanatumika kwa msisitizo. "jambo lililo nishangaaza sana"
|
||
|
|
||
|
# malaika saba wenye mapigo saba
|
||
|
|
||
|
"malaika saba waliokuwa na mamlaka ya kutuma mapigo saba duniani"
|
||
|
|
||
|
# ambayo yalikuwa mapigo ya mwisho
|
||
|
|
||
|
"na baada yake, hayatakuwapo mapigo mengine tena"
|
||
|
|
||
|
# katika hayo hasira ya Mungu ilikuwa imetimilika
|
||
|
|
||
|
"kwa kuwa mapigo haya yatakamilisha ghadhabu ya Mungu." maana zinazowezekana ni 1) mapigo haya yataonesha hasira yote ya Mungu au 2) baada ya mapigo haya, Mungu hatakuwa na hasira tena.
|