sw_tn/rev/09/16.md

20 lines
496 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Ghafla, wanajeshi 200,000,000 wajitokeza katika maono ya Yohana. Yohana sasa hazingumzi wale malaika wanne walitajwa katika mstari uliopita.
# 200,000,000
Njia baadhi zakueleza hii ni : "milioni mia mbili" au " elfu laki mbili" au "elfu ishirini mara elfu"
# vyekundu kama moto
"alikuwa mwekundu kama moto" au "alikuwa mwekundu wa kung'aa"
# njano isiyoiva
"njano kama salfa"
# midomoni mwao ulitoka moto, moshi na salfa
"moto, moshi na salfa zilitoka midomoni mwao"