# Taarifa ya Jumla: Ghafla, wanajeshi 200,000,000 wajitokeza katika maono ya Yohana. Yohana sasa hazingumzi wale malaika wanne walitajwa katika mstari uliopita. # 200,000,000 Njia baadhi zakueleza hii ni : "milioni mia mbili" au " elfu laki mbili" au "elfu ishirini mara elfu" # vyekundu kama moto "alikuwa mwekundu kama moto" au "alikuwa mwekundu wa kung'aa" # njano isiyoiva "njano kama salfa" # midomoni mwao ulitoka moto, moshi na salfa "moto, moshi na salfa zilitoka midomoni mwao"