sw_tn/rev/05/11.md

16 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# elfu kumi kwa elfu kumi na elfu kwa elfu
Hii huonesha kuwa hii ni idadi kubwa sana ya watu. "mamilioni" au "maelfu mengi sana kuhesabu"
# Astahili mwanakondoo
"Mwanakondoo anastahili"
# kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, heshima, utukufu, na sifa
Hivi ni vitu ambavyo Mwanakondoo anavyo. Kusifiwa navyo inazungumziwa kama kuvipokea. "kusifiwa kwa utukufu wake, utajiri, hekima, nguvu, heshima, utukufu."
# Astahili .. kupokea ... sifa
Hii inamaanizha kuwa anastahili kusifiwa na kila mtu.