# elfu kumi kwa elfu kumi na elfu kwa elfu Hii huonesha kuwa hii ni idadi kubwa sana ya watu. "mamilioni" au "maelfu mengi sana kuhesabu" # Astahili mwanakondoo "Mwanakondoo anastahili" # kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, heshima, utukufu, na sifa Hivi ni vitu ambavyo Mwanakondoo anavyo. Kusifiwa navyo inazungumziwa kama kuvipokea. "kusifiwa kwa utukufu wake, utajiri, hekima, nguvu, heshima, utukufu." # Astahili .. kupokea ... sifa Hii inamaanizha kuwa anastahili kusifiwa na kila mtu.