sw_tn/rev/01/01.md

36 lines
788 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Huu ni utangulizi wa kitabu cha Ufunuo. Unaeleza kuwa ni ufunuo kutoka kwa Yesu Kristo na unawabariki wote wausomao.
# watumishi wake
Hii humaanisha watu wamwaminio Kristo
# Nini lazima kitokee hivi punde
"matukio ya lazima kutokea hivi punde"
# Kufanywa kujulikana
"kufanywa mawasiliano"
# Kwa mtumishi wake Yohana
Yohana aliandika kitabu hiki na alikuwa akijitaja yeye mwenyewe: "kwangu, Yohana, mtumishi wake"
# Neno la Mungu
Hii humaanisha ni ujumbe Yohana aliopewa na Mungu.
# Yule anayesoma kwa sauti
Hii haihusishi mtu bayana. Inahusisha mtu yeyote anayesoma kwa sauti. "Yeyote anayesoma kwa sauti"
# Tii kilichoandikwa ndani
"amini kilichoandikwa humo na kutii amri zilizomo"
# Muda umekaribia
"vitu ambavyo lazima vitokee vitatokea karibuni"