sw_tn/psa/146/007.md

28 lines
694 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Anapitisha hukumu
"Anaamua mambo kwa usawa"
# kwa waliokandamizwa
"kwa watu waliokandamizwa" au "kwa wale ambao watu wengine wamewakandamiza"
# kwa wenye njaa
"kwa watu wenye njaa" au "kwa wale walio na njaa"
# hufungua macho ya vipofu
Kumsababisha mtu kipofu kuona inazungumziwa kana kwamba Yahwe alikuwa anafungua macho yake. "husababisha vipofu kuona"
# vipofu
"watu vipofu" au "wale walio vipofu"
# Yahwe huwainua wale walioinama chini
Yahwe kumsaidia mtu inazungumziwa kana kwamba anamsaidia mtu kimwili kusimama. "Yahwe huwasaidia wale walio kata tamaa" au "Yahwe huwasaidia wale walio wanyonge"
# walioinama chini
Hili ni tendo lenye ishara ya kukata tamaa na kuomboleza.